Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Nilikuwa na shangazi yangu ambaye alikuwa na dada wa kazi. Kwa miezi mingi hakumpa mshahara. Sasa siku ya kuondoka yule dada ikafika. Shangazi akamwambia. Ulivunja sahami hii na ile, akakata pesa. Mara ulisema pipa likikaa nje hawataiba na wameiba, akamkata.
Mwisho alipewa elfu nane. Nauli ya kwenda kwao kama elfu nne hivi.
Yule dada alinung'unika sana.
Mwisho alipewa elfu nane. Nauli ya kwenda kwao kama elfu nne hivi.
Yule dada alinung'unika sana.