Manyara: Ajali yaua watumishi watatu wa TANESCO

Manyara: Ajali yaua watumishi watatu wa TANESCO

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2021
Posts
577
Reaction score
2,595
Watumishi watatu wa TANESCO mkoa wa Manyara, Loren Materu, Emmanuel Thobias na Nassoro Mtime wamefariki dunia baada ya gari lao kugongwa la lori linaloaminika kuwa lilipata hitilafu kwenye breki.

D8FB2322-43E8-4590-96F2-9B712DB77FAA.jpeg

Aidha, watu wengine watatu wamepelekwa hospitali baada ya kupata majeraha.

Swahili Times
 
Watumishi watatu wa TANESCO mkoa wa Manyara, Loren Materu, Emmanuel Thobias na Nassoro Mtime wamefariki dunia baada ya gari lao kugongwa la lori linaloaminika kuwa lilipata hitilafu kwenye breki.

View attachment 2362810

Aidha, watu wengine watatu wamepelekwa hospitali baada ya kupata majeraha.

Swahili Times
Laana za tozo hizi.. mkapumzike sasa..
 
Watumishi watatu wa TANESCO mkoa wa Manyara, Loren Materu, Emmanuel Thobias na Nassoro Mtime wamefariki dunia baada ya gari lao kugongwa la lori linaloaminika kuwa lilipata hitilafu kwenye breki.

View attachment 2362810

Aidha, watu wengine watatu wamepelekwa hospitali baada ya kupata majeraha.

Swahili Times

Wapumzike kwa amani bila kuacha kuwakumbusha PT kuyakagua magari yote ya tanesco. Yatakuwa ni mabovu.
 
Poleni jmn ofc yangu ya zamani niliyoitumukia kwa akili yangu na maarifa yangu yote ila mwisho wa siku wakanifukuza Kama mbwa ili waweke watu wao wa pare na wachga wa rombo sintosahau

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mkuu GOROKO,kama ulikuwa umeajiriwa rasmi kwa nini ufukuzwe kama Mbwa??labda kama ulikuwa unajitolea au ulikuwa unafanya kwa Mkataba au kama kibarua
 
Uwezekano mkubwa hapo hao TANESCO ndiyo wenye makosa wala siyo lori wala nini.

Kuna wakati huwa natamani ningekuwa naendesha lori sababu ya maudhi ya madereva wa serikali.

Yaani wakiwasha hayo mataa mchana wana-overtake popote bila kujali.
 
Juzi watu SITA huko huko Manyara leo watanesco watatu. Ajali hizi ooops kumbe zilikuwepo tangu zamani ILA zilikuwa hazitangazwi.
 
Inatisha sana

Pole kwa marehemu, majeruhi, wafiwa, ndugu, jamaa, marafiki na taifa kwa ujumla

Bwana alitoa bwana ametwaa
Mwanga wa milele uwape ee bwana
Wastarehe kwa Amani..
😔
 
Back
Top Bottom