Manyara: Ajali yaua watumishi watatu wa TANESCO

Manyara: Ajali yaua watumishi watatu wa TANESCO

Huo Mlima hapo ni hatari sana kugongwa kwa gari dogo mlimani na gari ya mizigo mara nyingi ni uchakavu wa maroli yetu..punguzeni kodi wasafirishaji watumie maroli yalio bora maisha yetu yawe salama..
 
jaman njia ile ni mbaya sana kuna kona kali sana na emergency ndio liligongwa na fuso la mizigo,tumepoteza marafiki zetu
 
Back
Top Bottom