Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 577
- 2,595
Laana za tozo hizi.. mkapumzike sasa..Watumishi watatu wa TANESCO mkoa wa Manyara, Loren Materu, Emmanuel Thobias na Nassoro Mtime wamefariki dunia baada ya gari lao kugongwa la lori linaloaminika kuwa lilipata hitilafu kwenye breki.
View attachment 2362810
Aidha, watu wengine watatu wamepelekwa hospitali baada ya kupata majeraha.
Swahili Times
Watumishi watatu wa TANESCO mkoa wa Manyara, Loren Materu, Emmanuel Thobias na Nassoro Mtime wamefariki dunia baada ya gari lao kugongwa la lori linaloaminika kuwa lilipata hitilafu kwenye breki.
View attachment 2362810
Aidha, watu wengine watatu wamepelekwa hospitali baada ya kupata majeraha.
Swahili Times
!!!!Laana za tozo hizi.. mkapumzike sasa..
Wale nao wanaendeshaga vibaya.
Dah jamaa una roho mbaya Sana kwanini unahukumu namna hii?Laana za tozo hizi.. mkapumzike sasa..
Wapumzike kwa amani bila kuacha kuwakumbusha PT kuyakagua magari yote ya tanesco. Yatakuwa ni mabovu.
Mkuu GOROKO,kama ulikuwa umeajiriwa rasmi kwa nini ufukuzwe kama Mbwa??labda kama ulikuwa unajitolea au ulikuwa unafanya kwa Mkataba au kama kibaruaPoleni jmn ofc yangu ya zamani niliyoitumukia kwa akili yangu na maarifa yangu yote ila mwisho wa siku wakanifukuza Kama mbwa ili waweke watu wao wa pare na wachga wa rombo sintosahau
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app