lwambof07
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 4,643
- 5,335
matukio yamekuwa mengi sana ila huyu baba sio mzimaHii dunia sijui inaelekea wapi aisee[emoji32]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
matukio yamekuwa mengi sana ila huyu baba sio mzimaHii dunia sijui inaelekea wapi aisee[emoji32]
Duh na waume zao wanakubal [emoji849][emoji849]Maajabu sana, kuna dingi jingine huku nnakoishi limeanza kuwagonga watoto wake tangu wasichana mpaka wameolewa, likiwahitaji linapiga tu simu kwa waume zao, linadinya, hovyo kweli
[emoji23][emoji23]Mbakaji alishinda anasoma Uzi wa kula tunda kimasihara madhara yake ndio hayo sasa.
Anawaita mmoja baadae mwingine hivyohivyo labda anaweza mwambia mkwe wake wanamazungumzo ya kifamilia, anawatoto wa kike wanne, mmoja tu ndio alikataa kufanya upuuzi wao, wengine waliobaki wanaendelea na ujinga waoDuh na waume zao wanakubal [emoji849][emoji849]
kesi ipo tena mbaya sanaincestuous 4-some iyo, hakuna kesi hapo
Duh kweli ishi uone mengiAnawaita mmoja baadae mwingine hivyohivyo labda anaweza mwambia mkwe wake wanamazungumzo ya kifamilia, anawatoto wa kike wanne, mmoja tu ndio alikataa kufanya upuuzi wao, wengine waliobaki wanaendelea na ujinga wao
Usikute hawajui chochote hapoDuh na waume zao wanakubal [emoji849][emoji849]
ItakuwaUsikute hawajui chochote hapo
Itakua labda karogwa aisee nguvu anaitoa wapi jaman kwa watoto wake mwenyewehuyu baba jaman dah
yawezekana sio bureItakua labda karogwa aisee nguvu anaitoa wapi jaman kwa watoto wake mwenyewe
[emoji848][emoji848]Muwe mnawapima akili hawa wanaume kabla ya kuwabebea mimba.
Huyu bila Shaka ni gang😂Samahani kwa kuwacheleweshea pichaView attachment 2084867
Hapa ,, Sangoma anahusika [emoji817]Polisi wanamshikilia baba mwenye miaka 57 mkazi wa Kijiji cha Ndaleta mkoani Manyara kwa tuhuma za kuwabaka binti zake watatu wenye miaka 15, 17 na 18. Wizara ya Maendeleo ya Jamii imesema watoto hao tayari wamepatiwa matibabu na wanaendelea kupatiwa msaada wa kisaikolojia.
---
Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 57, mkoani Manyara Kaskazini mwa Tanzania anashikiliwa na Jeshi la Polisi nchini Tanzania kwa tuhuma za kuwabaka watoto wake watatu wa kike alhamisi ya juma lililopita.
Akitoa taarifa jijini Dodoma mapema leo, Mkuu wa Mawasiliano katika Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Prudence Constantine amesema kuwa baba huyo anadaiwa kuwafanyia tendo hilo la kikatili mabinti zake hao wenye umri wa miaka 15, 17 na 18 katika Kijiji cha Ndaleta, wilaya ya Kiteto.
Constantine alisema kuwa wizara imesikitishwa na taarifa za tukio hilo na inapenda kutoa taarifa kuwa tayari mtuhumiwa yupo mikononi mwa polisi kwa taratibu zaidi za kisheria.
Aidha, amesema kuwa watoto wameshapatiwa huduma za kiafya na wanaendelea kupatiwa huduma za msaada wa kisaikolojia na kijamii.
Mkuu huyo alisema kuwa hivi karibuni kwenye jamii kumekuwa na ongezeko la vitendo vya ukatili kwenye makundi yote ya jamii ikiwemo watoto.
Hivyo alisema kuwa Wizara inawaomba wananchi kuungana kupinga ukatili wa makundi yote kwa ujumla wake na kutoa taarifa mapema kwenye vyombo vya serikali na vyombo vya kijamii vinavyoweza kutoa msaada wa haraka pale tukio linapotokea.
Chanzo: BBC