Manyara: Baba mbaroni kwa kuwabaka binti zake watatu

Maajabu sana, kuna dingi jingine huku nnakoishi limeanza kuwagonga watoto wake tangu wasichana mpaka wameolewa, likiwahitaji linapiga tu simu kwa waume zao, linadinya, hovyo kweli
 
Duh na waume zao wanakubal [emoji849][emoji849]
 
Anawaita mmoja baadae mwingine hivyohivyo labda anaweza mwambia mkwe wake wanamazungumzo ya kifamilia, anawatoto wa kike wanne, mmoja tu ndio alikataa kufanya upuuzi wao, wengine waliobaki wanaendelea na ujinga wao
 
Duh kweli ishi uone mengi
 
Madhara ya uzi wa kimasihara......utakuta alisoma izi usiku akashindwa kuji control[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Muwe mnawapima akili hawa wanaume kabla ya kuwabebea mimba.
 
Hapa ,, Sangoma anahusika [emoji817]
 
Huko tuleteeni taarifa kamili hata na picha ya baba na majina yote yote kama naye ni mchaga tujue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…