Manyara: Bei ya Alizeti yapanda kutoka 30,000 mpaka 60,000 kwa debe

Manyara: Bei ya Alizeti yapanda kutoka 30,000 mpaka 60,000 kwa debe

Cannabis

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
11,557
Reaction score
33,535
manyara_alizeti.jpg

Wamiliki wa viwanda vya kukamua na kusindika alizeti, mkoani Manyara, wanakabiliwa na uhaba wa malighafi kutokana na kupanda kwa bei ya zao hilo, kutoka shilingi elfu thelathini (30,000) hadi elfu sitini (60,000) kwa debe.

Source:
alizeti_habari_leo.png
 
Hata zikinunuliwa kwa milioni moja kwa gunia,hizo alizeti hazipo na wakulima hawana.
 
Back
Top Bottom