Jackson94
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 492
- 560
Lakini ni ya muda tu.Means mafuta ya alizeti yanakwenda kuwa lulu,,hii ni fursa,,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini ni ya muda tu.Means mafuta ya alizeti yanakwenda kuwa lulu,,hii ni fursa,,
Mwezi April bado mbali,,Lakini ni ya muda tu.
Ha ha haaaaaaaaaaaaaaaKuweni makini isijekuwa yule tajiri ea songea amekuja huko
Watu wengi msimu uliopita hawakulima, huu msimu nimepanga kupiga 10 hectares Singida za Alizeti tupu.Dah huko wako vizuri,
Huku kwetu debe lina 4000 sasa hvi zao la alizet hatulilimi tena,
Ona ulivyo bogus hujui vitu unavikurupukia.Kuna mtu kazi yake ni kununua na kuficha maghalani malighafi hiyo, kisha anauza kwa bei ya kulangua pale ambapo anakuwa ameshanunua yote kwa wakulima, hakuna logic ya kitu kudouble in price ghafla, hizi ni hujuma, na lazima huyo mtu anaefanya hivyo atafutwe
sawa 60,000/= ni ndogo, kwani nimebisha 😂Ona ulivyo bogus hujui vitu unavikurupukia.
Alizeti siku hizi hawailimi nikiwemo mimi na sababu ni price yake ndogo, mfano wa mzingira tunayolima kila mwaka watu wanapanda mahindi tu.
Na mwaka huu itakuwa nyingi kupita maelezo kwa sababu mvua haitokuwa nyingi na dalili tumeshaziona.
Ujuaji uache kubi wewe, hujui hata inalimwaje
Labda atakuwa alimaanisha gunia? Maana debe hata kama ungeuza na mashudu huwezi kurudisha huyo pesa!Sasa kama bei ni kubwa hivyo hilo debe la alzeti likikamuliwa mafuta yanatoka kiasi gani?
Mbegu za maboga utazipata wapi za kujaza hata debe mojaNimesikia sasa hiv wanachanganya na mbegu za maboga ndio wanakamua
Unaweza ukajua au usijue kuwa kupanda kwa mafuta ya kupikia lazima kuje na multiple effects.Lakini ni ya muda tu.