Manyara: Kijana ashikiliwa kwa tuhuma za kumuua mtoto wa Kaka yake, kumtoa maini ili apike ale

Hayo mavuno ndio angekulia hayo maini?
Ushirikina haujawahi kumwacha mutu salama
 
Mungu wangu🙄
 
Tunakoelekea huku kubaya sana
 
Mungu wangu huyu kaingiwa na pepo gani? Maana kwa akili za kawaida ni ngumu kufanya hayo
Jini Makata na Subiani ukichanganya na Uenda Wazimu uliokithiri. Huyo sio Mtu kabisa - Tuache Sheria ichukue mkondo wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…