Manyara: Kimbunga kikali kilivyozua taharuki Mjini Babati

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Kimbunga kikali kimezua taharuki katika Mji wa Babati mkoani Manyara, video ikionesha matanki tupu ya maji yakirushwa angani.
Your browser is not able to display this video.
Huko kwenu kimbunga kama hiki mnakiitaje?
 
Sasa huo mluzi wa upepo ndio mnapiga kelele hivyo
America wao kimbunga upana wa maili moja na unasomba kila kitu mbele yake
Angalia El Reno tornado ilivunja rekodi kwa speed ya 313 miles/ hour na upana wake 2.6 mile
Sasa hako kaupepo unasema balaa hiyo
 
Poor reasoning capacity try to be serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…