Aahhh nadhan Vitu hivo sio vya Mwanamke, ni vya Mwanaume.
Na maamuzi ya Mwenyekiti yalikua sahihi kabisa kua kwakua wee umeiba Simu ya MTU na kuuza, na Hauna Hela, nasisi tunachukia TV yako, Sofa yako na Bufa.
Sasa Mjamzito kaamua kutumia Ujauzito wake kutafuta huruma ya kwamba vile vitu ni vyake.
Kwan TV, Bufa, vinahusiana vipi na Ujauzito?? Wamempiga Mjamzito??.
Sasa huyo Mwizi ( Mumewe ) alopatikana na Mali ya wizi, afikishwe mbele ya Sheria, afungwe hata miezi sita .
Alafu Mjamzito arudishiwe TV yake, Bufa na kochi , tuone kama atatoboa !!.
Utashangaa hapo usikie, na kwenye BUFA Kwa Ndani kulikua na Milioni 3 .