Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Hapa ni Manyara, Wilaya ya Hanang, Kata ya Basutu.
Inadaiwa kuwa mtu huyu amepigwa vibaya mikono yake ikiwa imefungwa nyuma, huku miguu yake ikipondwa kwa nyundo. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, mfanyabiashara anadaiwa kusema kuwa ana fedha na kwamba hata akimuua mtu huyo hawezi kuchukuliwa hatua kwa sababu ana uwezo wa kifedha.
Mfanya biashara huyo amewaweka mfukoni viongozi wote wa eneo hilo hawana cha kumfanya na anaonea watu anavyotaka.
Sasa hivi kila mtu anaamua anachotaka kwakuwa viongozi wote hawanaridhaa ya wananchi.
Taarifa hii nimeitoa kwa Twaha Mwaipaya kupitia ukurasa wake wa Instagram