Manyara: Ni huzuni! Mfanyabiashara Adaiwa Kumpiga Mwananchi Miguu na mikono kwa Nyundo

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Hapa ni Manyara, Wilaya ya Hanang, Kata ya Basutu.

Inadaiwa kuwa mtu huyu amepigwa vibaya mikono yake ikiwa imefungwa nyuma, huku miguu yake ikipondwa kwa nyundo. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, mfanyabiashara anadaiwa kusema kuwa ana fedha na kwamba hata akimuua mtu huyo hawezi kuchukuliwa hatua kwa sababu ana uwezo wa kifedha.

Mfanya biashara huyo amewaweka mfukoni viongozi wote wa eneo hilo hawana cha kumfanya na anaonea watu anavyotaka.

Sasa hivi kila mtu anaamua anachotaka kwakuwa viongozi wote hawanaridhaa ya wananchi.

Taarifa hii nimeitoa kwa Twaha Mwaipaya kupitia ukurasa wake wa Instagram

Your browser is not able to display this video.
 
aisee 😥😥😥😥😥😥
 
Nitarudi.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Atajua hajui na ujinga wake huyo mfanyabiashara anayejidai ana vijisenti. Atajua nguvu ya technolojia ya mawasiliano.
 
1-Sababu za kumfunga kamba na kumtwanga kwa nyundo ni nini?
2-Mmeenda kutoa taarifa za hilo lililotokea kwenye vyombo vya ulinzi na usalama/sheria na kuwaambia jinsi wanavyosemekana kuwekwa kwenye mfuko hapo Basutu?
3-Baada ya huyo mpigwa kupigwa,kwa sasa yuko wapi na mpigaji yuko wapi?
4-Mkiwa kama wananchi,kwa nini mnaodai ni "wenye pesa" kila mara kwa matukio yanayofanana na hayo ya kuvunjwa kwa sheria,huwa wanatoa maneno ya tambo za fedha tena kwa kufanana?Huwa hamuwasingizii na kuwatungia maneno ya uongo,yenye kuibua hisia kali,taharuki na chuki ili kuwagombanisha na jamii?
 
 

Attachments

  • E2J15v45XLSQdTMG.jpeg
    58 KB · Views: 8
Endeleeni kusubiria ICC, mtaonewa mpaka akili ziwakae sawa. Ingekuwa ishu ya demu kugongewa, wangekataa unyonge kabisa

Mtaonewa sana, na itapita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…