Roving Journalist JF Roving Journalist Joined Apr 18, 2017 Posts 3,984 Reaction score 13,760 May 26, 2022 #1 Taasisi Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Manyara imetoa ripoti yake kwa muda wa miezi mitatu, Januari hadi Machi 2022. TAKUKURU imetoa elimuya rushwa na athari zake katika jamii, kwa askari wa Jeshi la Polisi eneo la Tengefu la Mirerani. Pia imefanya semina 31, mikutano ya hadhara 29, vipindi vya redio 6 na maonesho 5.
Taasisi Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Manyara imetoa ripoti yake kwa muda wa miezi mitatu, Januari hadi Machi 2022. TAKUKURU imetoa elimuya rushwa na athari zake katika jamii, kwa askari wa Jeshi la Polisi eneo la Tengefu la Mirerani. Pia imefanya semina 31, mikutano ya hadhara 29, vipindi vya redio 6 na maonesho 5.