Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Sijasema mniamini mimi, nimesema I know the guy na uadilifu wake sio wa kutilia shaka, hivyo I seriously doubt uadilifu wa hawa Takukuru wetu na yale mambo yao ya kubambikia watu kesi!.Mkuu, kwahiyo tukuamini wewe na kuipuuza taasisi?
Ni kweli kabisa ulisoma naye na ni muadilifu, lakini kwanini akamatwe na mabandari matano ya noti nyingi. ?Declaration of interest, jamaa nimesoma nae LL.B darasa moja, jamaa ni muadilifu wa ukweli kabisa na uadilifu wake ni uadilifu usiotia shaka, hivyo Takukuru ndio waongo!.
P
Tupatie mfano japo mmoja wa kesi aliyobambikizia mtu?Sijasema mniamini mimi, nimesema I know the guy na uadilifu wake sio wa kutilia shaka, hivyo I seriously doubt uadilifu wa hawa Takukuru wetu na yale mambo yao ya kubambikia watu kesi!.
P
Hizo pesa amekamatwa nazo mkononi ama zilikuwa ndani ya mfuko!!?Ni kweli kabisa ulisoma naye na ni muadilifu, lakini kwanini akamatwe na mabandari matano ya noti nyingi. ?
Endapo itabainika pasipo shaka kuwa ni kweli mabandari ya noti hizo alipatiwa, utaisafisha vipi PCCB kwa tuhuma unazosema ni za uongo?
Watu wametoa maoni yao tu sidhani kama kuna mtu humu anaweza kuingilia kazi ya takukuruacheni kuingilia kazi ya TAKUKURU.
TAKUKURU inafanya kazi zake kwa mujibu wa sheria, tusiingilie.
Miongoni mwa kazi za TAKUKURU ni Kuchunguza na kukamata na kisha kupeleka mtuhumiwa mahakamani, Mahakama ndio itakayo amua kama anahatia au hana.
sisi tulio baki tukae kimya, tuviache vyombo vyetu vilivyo kasimiwa majukumu vifanye wajibu wao, tusijiingize ktk mkondo wa kuvunja sheria kwa kuanza kutoa shutuma kwa vyombo vyetu....eti kisa unamjua ni rafiki yako.!! hiyo si sawa.
kama unao ushahidi utaenda kumtetea mahakamani sio kwenye mitandao.
Ukitaka nikuwekee madudu ya PCCB humu naweza. Let's wait and see. PCCB ni chafu, mimi sihitaji kuisafisha bali inahitaji kusafishwaNi kweli kabisa ulisoma naye na ni muadilifu, lakini kwanini akamatwe na mabandari matano ya noti nyingi. ?
Endapo itabainika pasipo shaka kuwa ni kweli mabandari ya noti hizo alipatiwa, utaisafisha vipi PCCB kwa tuhuma unazosema ni za uongo?
Huyo arudi kwao akalime matoke na mbwanda kwani kwishnei. Tamaa nyingine nazo! Pole sana nshomile Mulangila Rwakatongo Rwakabuzi, Rwakatoke etc etc nshomile PhD PhC ettcTAKUKURU inamshikilia Mwendesha Mashitaka wa Mkoa wa Manyara, Wakili Msomi Mtalemwa Kishenyi kwa tuhuma za kuomba rushwa ya Milioni 5 kutoka kqa watuhumiwa wa Makosa ya jinai.
Hao watuhumiwa wa Jinai walikutwa na Risasi 370 pamoja na sticker fake za Bilioni 6.
View attachment 1763755
View attachment 1763752
Hizi ni baadhi ya Kesi zilizokuwa zinamkabili Mkurugenzi wa Jamii Forums, Maxence Melo alizozisimamia kidete:
1) Kesi dhidi ya JamiiForums: Meneja wa OILCOM (T) LTD atoa ushahidi, vielelezo vyake vyapingwa... Shauri laahirishwa
2) Kesi namba 458 kutotumia kikoa cha .TZ(Jamhuri vs JamiiForums) yasikilizwa na kuahirishwa hadi Novemba 20, 2017
TAKUKURU inamshikilia Mwendesha Mashitaka wa Mkoa wa Manyara, Wakili Msomi Mtalemwa Kishenyi kwa tuhuma za kuomba rushwa ya Milioni 5 kutoka kqa watuhumiwa wa Makosa ya jinai.
Hao watuhumiwa wa Jinai walikutwa na Risasi 370 pamoja na sticker fake za Bilioni 6.
View attachment 1763755
View attachment 1763752
Hizi ni baadhi ya Kesi zilizokuwa zinamkabili Mkurugenzi wa Jamii Forums, Maxence Melo alizozisimamia kidete:
1) Kesi dhidi ya JamiiForums: Meneja wa OILCOM (T) LTD atoa ushahidi, vielelezo vyake vyapingwa... Shauri laahirishwa
2) Kesi namba 458 kutotumia kikoa cha .TZ(Jamhuri vs JamiiForums) yasikilizwa na kuahirishwa hadi Novemba 20, 2017
Bado yupo kwenye uchunguzi hivyo siwezi kuziweka hapa nitaharibu uchunguziTuhuma nyingi kivipi!!??
Njaa haina bouncer mkuu naona umesahau!Declaration of interest, jamaa nimesoma nae LL.B darasa moja, jamaa ni muadilifu wa ukweli kabisa na uadilifu wake ni uadilifu usiotia shaka, hivyo Takukuru ndio waongo!.
P
Ila uandishi wa huyo Bosi wa TAKUKURU Mkoa wa Manyara ni shida! Sentensi moja ni para moja. Mada tofauti katika barua moja. Du haya!TAKUKURU inamshikilia Mwendesha Mashitaka wa Mkoa wa Manyara, Wakili Msomi Mtalemwa Kishenyi kwa tuhuma za kuomba rushwa ya Milioni 5 kutoka kqa watuhumiwa wa Makosa ya jinai.