Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Pascally ndugu yangu huoni kama haya maneno yako ungeyasema kipindi mzee huyo JR anakamatwa hadi anapelekwa huko rupango yangekuwa na sauti?
Escrow: Tumuombee J. Rugemalila alindwe kwa nguvu na uweza wa Roho Mtakatifu!, Wema wake usimponze!
Wanabodi, "Wema usizidi uwezo!" ila pia too much of anything is harmful, hivyo "wema nao ukizidi, unaweza kukuponza!". Bwana Mungu alitupa amri kuu "mpendane"!, katika utekelezaji wa amri hii, kuna baadhi ya wenzetu waliojaaliwa uwezo mkubwa wa upendo, hadi kufikia level ya kuwa na "upendo...