Manyara: Wakili wa Serikali, Mutalemwa Kishenyi mbaroni kwa Rushwa, TAKUKURU wamshikisha za moto

Manyara: Wakili wa Serikali, Mutalemwa Kishenyi mbaroni kwa Rushwa, TAKUKURU wamshikisha za moto

Declaration of interest, jamaa nimesoma nae LL.B darasa moja, jamaa ni muadilifu wa ukweli kabisa na uadilifu wake ni uadilifu usiotia shaka, hivyo Takukuru ndio waongo!.
P
Watu hubadilika, hasa ukiwa huku field vishawishi ni vingi, kwhy kusoma kwenu darasa moja miaka mingi iliyopita usikariri jamaa bado tupo vile. Afu hiyo kuiita chombo cha dola ni waongo bila kuthibitisha huo uongo wao siyo vizuri.
 
Declaration of interest, jamaa nimesoma nae LL.B darasa moja, jamaa ni muadilifu wa ukweli kabisa na uadilifu wake ni uadilifu usiotia shaka, hivyo Takukuru ndio waongo!.
P
Yes now we know it's a "personal interest". Your judgement is clouded kwakuwa ulisoma nae? Aibu hii, unawezaje kusema TAKUKURU ndio waongo? Au umeshafanya uchunguzi? Au na wewe unahusika kwenye mgawo huo wa 5M?

Hapa jamaa umejivua vyeo asee.
 
Wataishia kukamata vidagaa tu, millioni 50,100,nk but the big fish wale wanaofanya vikao vya bodi 23 Visivyo na maana yoyote harafu wanapiga millioni 600! Hawa wanaachwa tu waendelee na maisha.

Na wale walioingia mkataba wa kuweka Rangi kwenye mafuta wakawa wanakula billioni 5,(yes 5000,000,000,) kwa mwezi hawa mkataba unasitishwa walizotuibia wanaenda nazo.
Hatari sn
 
Back
Top Bottom