GE2025 Manyara: Wananchi wandamana kumkataa Mgombea aliyepitishwa na CCM Kura za Wajumbe

GE2025 Manyara: Wananchi wandamana kumkataa Mgombea aliyepitishwa na CCM Kura za Wajumbe

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Wakuu!

Huko Manyara Wananchi wamecharuka, wameingia barabarani kupinga Mgombea aliyepitishwa na CCM Kura za maoni za Wajumbe

Kwenye video hii anasikika jamaa hapa akisema "Rais Samia tunateseka...Kura zote..
Tumeibiwa Kura...Tunamhitaji"
 
Hawa lazima wasikilizwe. Wasiposikilizwa watapigia kura mgombea wa chama cha upinzani
 
Uteuzi wa wagombea ndo utakaoangusha CCM, imagine kuwe na majimbo kama 20 yako hivo halafu kuwe na chama cha upinzania yenye nguvu,ina maana wananchi watawapigia upinzani
 
CCM wangekuwa wanajali maslahi ya nchi no reforms no election hata wao inawahusu wangekubali kuiunga mkono ujinga kama huu ungefutika.
 
Ukiona wananchi wanaandamana kutaka mgombea aliyekatwa arudishwe ujue wanaipenda CCM, otherwise wangesubiri uchaguzi na kuwapigia upinzani!
Hawawezi kumpata wa upinzani kwakuwa uchaguzi umeshafanyika
 
Back
Top Bottom