Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Acha wauaneWakuu!
Huko Manyara Wananchi wamecharuka, wameingia barabarani kupinga Mgombea aliyepitishwa na CCM Kura za maoni za Wajumbe
Kwenye video hii anasikika jamaa hapa akisema "Rais Samia tunateseka...Kura zote..
Tumeibiwa Kura...Tunamhitaji"
Hawa lazima wasikilizwe. Wasiposikilizwa watapigia kura mgombea wa chama cha upinzaniWakuu!
Huko Manyara Wananchi wamecharuka, wameingia barabarani kupinga Mgombea aliyepitishwa na CCM Kura za maoni za Wajumbe
Kwenye video hii anasikika jamaa hapa akisema "Rais Samia tunateseka...Kura zote..
Tumeibiwa Kura...Tunamhitaji"
Atimaye serikali imewaona kwa jicho la huruma walimu now wanaunafuu wa maishaπManyara ni Mkoa,tuambie ni sehemu gani ya Mkoa wa Manyara
Wanampenda mgombea, is not about chama, ila sasa ccm watajikanyaga kwa kuvunja trust yaoUkiona wananchi wanaandamana kutaka mgombea aliyekatwa arudishwe ujue wanaipenda CCM, otherwise wangesubiri uchaguzi na kuwapigia upinzani!
Nakubali hapo issue ni mtu ndiye anapendwa sio chamaπWanampenda mgombea, is not about chama, ila sasa ccm watajikanyaga kwa kuvunja trust yao
Ni mgombea wa chama cha mapinduziWanampenda mgombea, is not about chama, ila sasa ccm watajikanyaga kwa kuvunja trust yao
Na nyie wajinga tu kushabikia CCM
Hawawezi kumpata wa upinzani kwakuwa uchaguzi umeshafanyikaUkiona wananchi wanaandamana kutaka mgombea aliyekatwa arudishwe ujue wanaipenda CCM, otherwise wangesubiri uchaguzi na kuwapigia upinzani!
Lazima ifichwe kwa usalama waoManyara ni Mkoa,tuambie ni sehemu gani ya Mkoa wa Manyara