Waufukweni JF-Expert Member Joined May 16, 2024 Posts 2,060 Reaction score 5,648 Nov 17, 2024 #1 Wanawake wa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara wamewataka Wagombea wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na wanachi kwa ujumla Wilayani humo kufanya na kushiriki kampeni za kistaarabu katika uchaguzi huo pindi zitakapoanza Novemba 20, 2024. Soma: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Manyara - Novemba 27, 2024 Your browser is not able to display this video. Pia, Soma: • Babati: Mwenyekiti wa Kamati ya Rufani Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, amewataka wagombea kuwasilisha mapingamizi mapema
Wanawake wa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara wamewataka Wagombea wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na wanachi kwa ujumla Wilayani humo kufanya na kushiriki kampeni za kistaarabu katika uchaguzi huo pindi zitakapoanza Novemba 20, 2024. Soma: Yanayojiri kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Mkoa wa Manyara - Novemba 27, 2024 Your browser is not able to display this video. Pia, Soma: • Babati: Mwenyekiti wa Kamati ya Rufani Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, amewataka wagombea kuwasilisha mapingamizi mapema