Manyara: Watanzania tumefikia hatua ya kuwa Wanyama, Mhasibu wa vikoba auawa kisa laki 4

Manyara: Watanzania tumefikia hatua ya kuwa Wanyama, Mhasibu wa vikoba auawa kisa laki 4

Inawezekana wameifuta.

Nilisoma jana habari hio, sambamba na mtt mwengine aliechinjwa na kuwekwa mvunguni na mtuhumiwa kukutwa na risiti za vifo za tangu mwaka 1997
Yes ndiyo hiyo hiyo ya kuwekwa uvunguni mwa kitanda na kukuta risiti 50 za vifo....Inasikitisha sana ,cha kushangaza pamoja na kuua watu wote hao bado alikuwa anaisha maisha magumu sana.
 
Back
Top Bottom