Manyara: Watu wanne, wafariki dunia, wakiwemo wanafunzi watatu na dereva katika ajali iliyohusisha Coaster na Scania

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755

Snapinsta.app_457134849_756966256487209_8159521707701326639_n_1080.jpg

Watu wanne wamefariki dunia wakiwemo Wanafunzi watatu na Dereva mmoja katika ajali iliyohusisha magari mawili ikiwemo Coaster na gari la mizigo aina ya Scania.

Ajali hiyo imetokea alfajiri ya leo August 31,2024 katika eneo la Gajal Babati Mkoani Manyara ambapo Coaster ilikuwa imebeba Wanafunzi kutoka Hanang kuelekea Mkoani Arusha na baada ya Kufika eneo hilo iligongana uso kwa uso na Scania.

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Manyara Ahmed Makarani amesema chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa Dereva wa lori kushindwa kuwa makini barabarani na kuigonga Coaster hiyo iliyokuwa imebeba Wanafunzi 33 wa Shule ya Sekondari Endasaki waliokuwa wakielekea Mkoani Arusha kwa ajili ya likizo baada ya kufunga Shule.

Soma Pia:

Snapinsta.app_457723411_1222997172449736_3532729712590174133_n_1080.jpg
Snapinsta.app_457365349_980863530477418_2065861557315654977_n_1080.jpg
 
Watu wanne wamefariki dunia wakiwemo Wanafunzi watatu na Dereva mmoja katika ajali iliyohusisha magari mawili ikiwemo Coaster na gari la mizigo aina ya Scania.

Ajali hiyo imetokea alfajiri ya leo August 31,2024 katika eneo la Gajal Babati Mkoani Manyara ambapo Coaster ilikuwa imebeba Wanafunzi kutoka Hanang kuelekea Mkoani Arusha na baada ya Kufika eneo hilo iligongana uso kwa uso na Scania.

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Manyara Ahmed Makarani amesema chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa Dereva wa lori kushindwa kuwa makini barabarani na kuigonga Coaster hiyo iliyokuwa imebeba Wanafunzi 33 wa Shule ya Sekondari Endasaki waliokuwa wakielekea Mkoani Arusha kwa ajili ya likizo baada ya kufunga Shule.

Soma Pia:

Hakuna siku inapita bila ajali
 
Dah, so sad. Hakika inaumiza sana. Uzembe wa mtu mmoja umegharimu maisha ya watu. Inasikitisha sana.
Madereva kuweni makini mnapoendesha. Kosa dogo linaweza kugharimu na kusababisha maumivu kwa wengine.
Maamuvu wanayopitia wengine baada ya ajali ni laana itakayoendelea kukuwinda.
 
Ajali hiyo imetokea alfajiri ya leo August 31,2024 katika eneo la Gajal Babati Mkoani Manyara ambapo Coaster ilikuwa imebeba Wanafunzi kutoka Hanang kuelekea Mkoani Arusha na baada ya Kufika eneo hilo iligongana uso kwa uso na Scania.
SmartSelect_20240831_154907_Samsung Internet.jpg

Hiyo sehemu ni njia clear kabisa
 
amanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Manyara Ahmed Makarani amesema chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa Dereva wa lori kushindwa kuwa makini barabarani na kuigonga Coaster hiyo iliyokuwa imebeba Wanafunzi 33 wa Shule ya Sekondari Endasaki waliokuwa wakielekea Mkoani Arusha kwa ajili ya likizo baada ya kufunga Shule.
Unajua mtoto anarudi likizo ghafla unaletewa maiti
 
Watu wanne wamefariki dunia wakiwemo Wanafunzi watatu na Dereva mmoja katika ajali iliyohusisha magari mawili ikiwemo Coaster na gari la mizigo aina ya Scania.

Ajali hiyo imetokea alfajiri ya leo August 31,2024 katika eneo la Gajal Babati Mkoani Manyara ambapo Coaster ilikuwa imebeba Wanafunzi kutoka Hanang kuelekea Mkoani Arusha na baada ya Kufika eneo hilo iligongana uso kwa uso na Scania.

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Manyara Ahmed Makarani amesema chanzo cha ajali hiyo ni uzembe wa Dereva wa lori kushindwa kuwa makini barabarani na kuigonga Coaster hiyo iliyokuwa imebeba Wanafunzi 33 wa Shule ya Sekondari Endasaki waliokuwa wakielekea Mkoani Arusha kwa ajili ya likizo baada ya kufunga Shule.

Soma Pia:

Inna lillah wainna ilayh rajiuun.
 
Duh waungwan hpo ni ngumu kutok mtu ila nawapa pole San wafiwa
 
So saaaaaddddd 🥲🥲🥲😢😢😢😢
Ni huzuni kwa kweli. Ni huzuni sana. Uzembe wa mtu umekwenda kukatisha ndoto za watoto. Hakika inaumiza sana. Hata walionusurika madhara ya kisaikolojia watakayopata ni makubwa sana.
Mwenyezi Mungu awasaidie wapate kupona haraka.
 
Hivi muarobaini wa hizi ajali sisi kama taifa ndo tulishashindwa kuzipata?,maana ni kama janga la kitaifa sasa .RIP vijana wetu .
 
Back
Top Bottom