Manyaunyau: Witch Doctor anayekwenda na wakati

Manyaunyau: Witch Doctor anayekwenda na wakati

Kaliro X

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2013
Posts
749
Reaction score
440
Wakuu,

Nimekuta hii post kwenye account ya fb ya Mganga huyu maarufu wa kienyenyi nchini TZ Manyaunyau, baadhi ya picha zinamuonyesha akiwa kwenye mjengo wake wakisasa na nyingine akiwa ameshika tablet etc etc.Actually sio kitu cha kawaida sana kwa hawa jamaa wa hiyo sekta kuwa hivi.

Tumezoea kuwaona wakiishi kwenye vibanda vya nyasi na mavazi yao ndo mmmh!Wadau kadha wakawa wametupia comments wakimpongeza na wengine wakimponda.

Nini maoni yako kama MwanaJF kuhusiana na lifestyle ya huyu jamaa?
 

Attachments

  • 1438955374145.jpg
    1438955374145.jpg
    20.4 KB · Views: 1,567
  • 1438955424981.jpg
    1438955424981.jpg
    24.6 KB · Views: 1,372
Kuna kitu nilitaka nicomment hapa ila naogopa kurogwa
 
Manyau nyau !!!!!!!!!!!!!!!!, hilo jina kwangu geni vipi unaweza kunielezea anajishughulisha na magonjwa gani???????????
 
Manyau nyau !!!!!!!!!!!!!!!!, hilo jina kwangu geni vipi unaweza kunielezea anajishughulisha na magonjwa gani???????????

Mkuu unaishi wapi?? I mean NCHI GANI??
 
Enhe mkuu ebu tupe somo kwani kuna aina ngapi za waganga??

Kuna waganga wa kutumia mizimu hawa ndo wale wanaoishi vijumba vya nyasi yaani maisha ya kimasikini

Waganga watumiao majini ndo hao wakinamanyaunyau majini masharti yao hayawazuii kuishi vizuri
 
Back
Top Bottom