Manyaunyau: Witch Doctor anayekwenda na wakati

Manyaunyau: Witch Doctor anayekwenda na wakati

Huyu hata ukienda twanga unamkuta ! Anacheza miguu yote kama ronaldo ni mganga kweli mda mwingine anapiga zile za kina Ustaadhi Juma na Musoma!
 
Kuna kitu nilitaka nicomment hapa ila naogopa kurogwa

Ha ha haaa, usiogope kitu, hawezi na hana uwezo wa kukufanya chochote, hana madhara na pia wala hawezi kukupa manufaa yoyote yale,
Unaogopa kumuudhi huyo nyau lakin aliyemleta nyau dunian unamuudhi tena aina tofauti tofauti ya dhambi na wala hushtuki,
Kwanza Mungu anapenda aogopwe yeye tu, na ana wivu na hasira kuona heshima hiyo anapewa kiumbe aliyemuumba yeye mwenyewe
 
Manyau nyau !!!!!!!!!!!!!!!!, hilo jina kwangu geni vipi unaweza kunielezea anajishughulisha na magonjwa gani???????????

Kwenu mmepata TV lini?? Sisi wa zamani tumemjulia kwenye TV
 
11703385_879798795401254_6173124669828784089_n.jpg
 

Hizi hela na uko kutwafutwa. kwake tu ni hatari ndo ivo sasa kama ajira hamna kijana ufanyeje sasa kutafuta frusa nyingine ya kutokea tu.
Huyu ame anzia kunywa damu za paka na saivi ana ishi atakavyo.
 
Back
Top Bottom