Uchaguzi 2020 Manyerere Jackton hatimaye avaa jezi ya CCM na kutangaza nia Butiama

Uchaguzi 2020 Manyerere Jackton hatimaye avaa jezi ya CCM na kutangaza nia Butiama

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
11,795
Reaction score
36,704
Jamaa huyo hapo baada ya kujikomba kwa mkuu hatimaye amevaa jezi kabisa.
Anaenda kuomba ubunge huko Butiama.

azamtvtz_20200710_191029_0.jpg
 
Siku na huyu Mheshimiwa Pascal Mayalla akitia nia sehemu yoyote ile kupitia CCM mnishtue ili niweze kumchangia chochote kwenye hiyo safari yake ya matumaini.
Nami nilimuahidi akitia nia nitamchangia,akasema hana haja ya hela,maana gari la kuzungukia wakati wa kampeni analo na kijikita zaidi kwenye mtaji wa sela
 
Jackton Manyerere ni nani hasa ? Napenda kujua zaidi
 
Mkuu embu rudia tu kuandika upya,sijakupata aisee umenikumbusha darasa LA tatu...1980 giningi primary
nime muuliza baba yake na huyo mtia nia anamjua au kaandika tu kwa kuwa ana simu na bado, hiki kitendea kazi changu kina shida kidogo.
 
Yaani wewe umchangie mtu anamiliki kampuni yake. Badala ya kuchangia chama chako ambacho hakina hata ofisi.

🙄 Chama gani hicho tena! Mimi ni Mtanzania Mzalendo nisiye na Chama. Halafu mbona huzuiwi kutia nia hata kama unamiliki ndege? Na kuhusu kumchangia, pia haimaanishi ya kuwa Mwana Jamii mwezetu hana hela! Ni njia tu mojawapo ya kumuunga mkono na kumtia moyo.

Au unataka uniambie wale Bodaboda wa kule Mbeya wana hela sana kuliko Naibu Spika wenu aliyemaliza muda wake kwa kuamua tu kumchukulia fomu ya Ubunge pale Mbeya Mjini?
 
Wewe ni member wa Saccos ya Mb
owe na baba mkwe wake.
Sina maana hutakiwi kumchangia member mwezetu ila sio kwa unafiki.
 
nime muuliza baba yake na huyo mtia nia anamjua au kaandika tu kwa kuwa ana simu na bado, hiki kitendea kazi changu kina shida kidogo.

Hii Elimu ya Tz watu wanazeeka na ujinga ebu soma ulichokiandika " "bado" au bundle.
 
Back
Top Bottom