Uchaguzi 2020 Manyerere Jackton hatimaye avaa jezi ya CCM na kutangaza nia Butiama

Uchaguzi 2020 Manyerere Jackton hatimaye avaa jezi ya CCM na kutangaza nia Butiama

Mbapambana ndani ya Ukoo wenu wewe na Madaraka, kilala heri nyote!
 
Ni haki yake kikatiba,acheni watu wachukue form jamani.Kabla haujamquestion mtu kuhusu kuchukua form,jiulize kwani wewe nani kakuwekea break kutokuchukua?Watu wachukue form as far as ni watanzania.
 
Nasikia na yule mwenzake wa jamhuri naye anakwenda kugombea jimbo mojawapo pale bukoba, ndiyo ujue kuwa Tanzania sasa hatuna uhuru wa vyombo vya habari
Jamaa huyo hapo baada ya kujikomba kwa mkuu hatimaye amevaa jezi kabisa.
Anaenda kuomba ubunge huko Butiama.

 
Basi wewe ndiyo utakuwa ni mkuu wa mabwege woote hapa Tanzania
acha na maandishi jibu swali, hiki kifaa ninachotumia kina shida naweeza kuwa najua kuandika kuliko ukoo wako wote bwege wewe.
 
Jamaa huyo hapo baada ya kujikomba kwa mkuu hatimaye amevaa jezi kabisa.
Anaenda kuomba ubunge huko Butiama.


Exquisite,popote ulipo mjomba wetu Manyerere,salaam njema zikufikie.

We wish you best wishes in the nearby race for Butiama constituency.

We really know your patriotism and zealousness for this blessed county.

It's high time now to transform your carrier into political arena.

Go Manyerere Jackton.

Siempre Siempre CCM
Hasta la Victoria CCM
Aluta Continua CCM
Kidumu CCM.
 
Hata akiruda mara 1000 kitakacho zaliwa ni hayo mapungufu aliyo yaandika maana huo ndiyo ukomo wa akili zake.
Daa..mwamba umeniangushaa...hujui kuandika..ebu rudia tena kuandika hapo..
 
Huko CCM wajumbe wanataka vyuma tu.

Je, Manyerere ana vyuma vya kuwatuliza wajumbe ?
 
Back
Top Bottom