Manyoni: Anayedaiwa kumuua na kumfukia mkewe mikononi mwa polisi

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,628
Jeshi la polisi wilayani Manyoni mkoani Singida linamshikilia Yusufu Abdallah mkazi wa Kitongoji cha Tambukareli kwa tuhuma za kumuua mkewe Bi.Neema Vicent na kumfukia kwenye makaburi ya zamani kwa zaidi ya siku arobaini huku ndugu wakihangaika kumtafuta bila mafanikio.

Mwili wa marehemu Bi. Neema Vicent umefukuliwa katika makaburi ya zamani yaliyopo kitongoji cha Kipondoda .
 
Na huyo ni wakanda ile maana kila siku kutusema tu kumbuka tabia haina kabila
 
Jeshi la polisi wilayani Manyoni mkoani Singida linamshikilia Yusufu Abdallah mkazi wa Kitongoji cha Tambukareli kwa tuhuma za kumuua mkewe Bi.Neema Vicent na kumfukia kwenye makaburi ya zamani kwa zaidi ya siku arobaini huku ndugu wakihangaika kumtafuta bila mafanikio.

Mwili wa marehemu Bi. Neema Vicent umefukuliwa katika makaburi ya zamani yaliyopo kitongoji cha Kipondoda .
Damu ya mtu huwa haiendi bure
 
Hivi mtu umpendaye unaweza kumuua,?
 
hili swala la kusema binadamu mkatili kama mnyama naomba kutajiwa mnyama yupi ni mkatili na ukatili wake ni nini?

mana nature inawataka wanyama waishi kama ilivyokusudiwa, PERFECT ECOSYSTEM. sasa sielewi huo ukatili wa wanyama unatoka wapi
 
Attachments

  • images.jpeg-12.jpg
    images.jpeg-12.jpg
    43.6 KB · Views: 5
  • images.jpeg-11.jpg
    images.jpeg-11.jpg
    27 KB · Views: 3
  • images.jpeg-10.jpg
    images.jpeg-10.jpg
    13.1 KB · Views: 7
hili swala la kusema binadamu mkatili kama mnyama naomba kutajiwa mnyama yupi ni mkatili na ukatili wake ni nini?

mana nature inawataka wanyama waishi kama ilivyokusudiwa, PERFECT ECOSYSTEM. sasa sielewi huo ukatili wa wanyama unatoka wapi
Kuua watoto wake mwenyewe,au kula watoto
 
Back
Top Bottom