Damu ya mtu huwa haiendi bureJeshi la polisi wilayani Manyoni mkoani Singida linamshikilia Yusufu Abdallah mkazi wa Kitongoji cha Tambukareli kwa tuhuma za kumuua mkewe Bi.Neema Vicent na kumfukia kwenye makaburi ya zamani kwa zaidi ya siku arobaini huku ndugu wakihangaika kumtafuta bila mafanikio.
Mwili wa marehemu Bi. Neema Vicent umefukuliwa katika makaburi ya zamani yaliyopo kitongoji cha Kipondoda .
Ukatili ukimwingia mtu hata mnyama haingii
Kuua watoto wake mwenyewe,au kula watotohili swala la kusema binadamu mkatili kama mnyama naomba kutajiwa mnyama yupi ni mkatili na ukatili wake ni nini?
mana nature inawataka wanyama waishi kama ilivyokusudiwa, PERFECT ECOSYSTEM. sasa sielewi huo ukatili wa wanyama unatoka wapi
Hata wanyama ni katili tuHakuna mnyama katili duniani kama mwanadamu!