Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Kibaya zaidi magonjwa wanayoniandikia nikapime sijawahi kufikiria kwenye maisha yangu kama yapo zaidi ya kujibu maswal ya biology darasani🤣!!! Mungu mkubwa sikukutwa nayo😃😃😃😃😃