Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Kibaya zaidi magonjwa wanayoniandikia nikapime sijawahi kufikiria kwenye maisha yangu kama yapo zaidi ya kujibu maswal ya biology darasaniπ€£!!! Mungu mkubwa sikukutwa nayoπππππ
Hii ndiyo taarifa iliyokuwa inasubiriwaKaribu manyoni.hapa wapo wanyaturu wagogo na makabila tofauti kama wasukuma,wachaga na wakurya.Kwasasa manyoni haina lodge au hotel ila wachaga wamejenga...
Hii taarifa ni precise kabisa,Karibu manyoni.hapa wapo wanyaturu wagogo na makabila tofauti kama wasukuma,wachaga na wakurya.Kwasasa manyoni haina lodge au hotel ila wachaga wamejenga lodge kali ila wao wameziita hotel.Kwasasa kuna lodge moja tu ambayo ipo barabara...
Wewe kweli wa Manyoni,Karibu manyoni.hapa wapo wanyaturu wagogo na makabila tofauti kama wasukuma,wachaga na wakurya.Kwasasa manyoni haina lodge au hotel...