HahaaaNilipata "mnyonyaji" yamepona
😳😳😳😳 jamaniiiiAah hao wachawi nd wanakufanyia ivo wankuekea upupu mi aunt ang alkw km ivo, sasa cha kuafany apo lala na jivu kwa leo then kexh safar kwa sangoma
Mficha "nyeti" hapati mtoto.
Yaani ikifika usiku wa manane kuwe na joto au baridi, manyonyo yanawasha sana hadi kwenye chuchu!
Ushauri wenu tafadhali hasa hawa wataalam @sky eclat, na [USER=10655]@Watu8
Ahsanteni sana[/USER]
MI MWENYEWE NLIKUA NAJUA NI "ME"Sijajua we ni Me au Ke.