Manyonyo kuwasha sana usiku

Manyonyo kuwasha sana usiku

Titi za muhenga hizo huoni kajiunga jf wewe bado unachezea magari ya matete..Zishakua kama Tube isiyokua na hewa
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
paka mafuta sana maana ukipata ujauzito ukija kuzaa yatachanika vibaya mno .
Miss, hili tatizo la kuchanika maziwa hata mke wangu analo, yaani akisha jifungua tu baada ya miezi kadhaa maziwa yanachanika kwenye mzunguko wa chuchu, basi hapo inakuwa kila mtoto akitaka kunyonya anapata maumivu makali sana
 
unatakiwa ujue jinsi ya kutunza mwili wako mwanamke .usiwe bahili wa mafuta .mimi kwa mwezi natumia makopo matatu ya mafuta ..bado vicream cream vya kunitakatisha sio mikorogo lakini .
nina mafuta ya nywele
ya uso
ya mdomo
ya shingo
ya nyonyo na tumbo na mapaja
ya taako
ya papuchi
ya bikini line
ya miguu
ya nyayo
ya kucha
Duh hapo unaanza kupakaa asubuhi hadi jioni
 
Miss, hili tatizo la kuchanika maziwa hata mke wangu analo, yaani akisha jifungua tu baada ya miezi kadhaa maziwa yanachanika kwenye mzunguko wa chuchu, basi hapo inakuwa kila mtoto akitaka kunyonya anapata maumivu makali sana
pole sana
 
unatakiwa ujue jinsi ya kutunza mwili wako mwanamke .usiwe bahili wa mafuta .mimi kwa mwezi natumia makopo matatu ya mafuta ..bado vicream cream vya kunitakatisha sio mikorogo lakini .
nina mafuta ya nywele
ya uso
ya mdomo
ya shingo
ya nyonyo na tumbo na mapaja
ya taako
ya papuchi
ya bikini line
ya miguu
ya nyayo
ya kucha
Miss nanihii, sasa yabidi uamke saa ngapi maana kama shughuli ya mafuta iko hivyo...... bado hujachukua muda kuchagua nguo ya kuvaa bado viatu bado begi bado miwani bado bado bado.......heeeh!
Haki ya mungu nkazi kweikwei.
 
😀😀 Yuko sharp sana anawahi tu kumaliza
 
Nitakuwa mchoyo kama sitaendelea kuwashukuru wote kwa ushauri wenu, barikiweni sana
 
Mkuu lete mrrejesho ulifanikiwa kumaliza tatizo lako?
Umeponaje?
Huenda ukawasaidia wengine wenye tatizo hili.
 
Back
Top Bottom