- Thread starter
- #261
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Titi za muhenga hizo huoni kajiunga jf wewe bado unachezea magari ya matete..Zishakua kama Tube isiyokua na hewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Titi za muhenga hizo huoni kajiunga jf wewe bado unachezea magari ya matete..Zishakua kama Tube isiyokua na hewa
Miss, hili tatizo la kuchanika maziwa hata mke wangu analo, yaani akisha jifungua tu baada ya miezi kadhaa maziwa yanachanika kwenye mzunguko wa chuchu, basi hapo inakuwa kila mtoto akitaka kunyonya anapata maumivu makali sanapaka mafuta sana maana ukipata ujauzito ukija kuzaa yatachanika vibaya mno .
Duh hapo unaanza kupakaa asubuhi hadi jioniunatakiwa ujue jinsi ya kutunza mwili wako mwanamke .usiwe bahili wa mafuta .mimi kwa mwezi natumia makopo matatu ya mafuta ..bado vicream cream vya kunitakatisha sio mikorogo lakini .
nina mafuta ya nywele
ya uso
ya mdomo
ya shingo
ya nyonyo na tumbo na mapaja
ya taako
ya papuchi
ya bikini line
ya miguu
ya nyayo
ya kucha
pole sanaMiss, hili tatizo la kuchanika maziwa hata mke wangu analo, yaani akisha jifungua tu baada ya miezi kadhaa maziwa yanachanika kwenye mzunguko wa chuchu, basi hapo inakuwa kila mtoto akitaka kunyonya anapata maumivu makali sana
Ahsante mkuu goldie inkPole sana
Labda kwa kuwa ni mzoefu atatumia dakika 13 tu hahhahDuh hapo unaanza kupakaa asubuhi hadi jioni
Asante, ila na wewe pole na ufanye hima kupata ufumbuzi wa tatizo lako.pole sana
Hahaha Miss natafuta sio wa mchezo atakuwa soft kweli kweli. Jaribu unaweza ukapata matokeo mazuriLabda kwa kuwa ni mzoefu atatumia dakika 13 tu hahhah
Nimepanga Jumamosi niende hospitaliAsante, ila na wewe pole na ufanye hima kupata ufumbuzi wa tatizo lako.
Naogopa kumuiga hahahaahHahaha Miss natafuta sio wa mchezo atakuwa soft kweli kweli. Jaribu unaweza ukapata matokeo mazuri
Miss nanihii, sasa yabidi uamke saa ngapi maana kama shughuli ya mafuta iko hivyo...... bado hujachukua muda kuchagua nguo ya kuvaa bado viatu bado begi bado miwani bado bado bado.......heeeh!unatakiwa ujue jinsi ya kutunza mwili wako mwanamke .usiwe bahili wa mafuta .mimi kwa mwezi natumia makopo matatu ya mafuta ..bado vicream cream vya kunitakatisha sio mikorogo lakini .
nina mafuta ya nywele
ya uso
ya mdomo
ya shingo
ya nyonyo na tumbo na mapaja
ya taako
ya papuchi
ya bikini line
ya miguu
ya nyayo
ya kucha
Mara yako ya mwisho "kungonoka" ilikuwa lini?Mficha "nyeti" hapati mtoto.
Yaani ikifika usiku wa manane kuwe na joto au baridi, manyonyo yanawasha sana hadi kwenye chuchu!
Ushauri wenu tafadhali hasa hawa wataalam @sky eclat, na [USER=10655]@Watu8
Ahsanteni sana[/USER]
Leo, nusu saa tokea ninavyoandika hii commentMara yako ya mwisho "kungonoka" ilikuwa lini?
Ukiwashwa tu, mwambie uliyenaye akukuneLeo, nusu saa tokea ninavyoandika hii comment
😀😀 Yuko sharp sana anawahi tu kumalizaMiss nanihii, sasa yabidi uamke saa ngapi maana kama shughuli ya mafuta iko hivyo...... bado hujachukua muda kuchagua nguo ya kuvaa bado viatu bado begi bado miwani bado bado bado.......heeeh!
Haki ya mungu nkazi kweikwei.
😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛Ukiwashwa tu, mwambie uliyenaye akukune
hakika hutasikia huo muwasho tena
Nilipata "mnyonyaji" yameponaMkuu lete mrrejesho ulifanikiwa kumaliza tatizo lako?
Umeponaje?
Huenda ukawasaidia wengine wenye tatizo hili.