Norshad
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,211
- 12,538
Jaribu tiba mbadala, zimung' unywe/ nyonywe/ zipekechwe/ pengine zifinywefinywe kiasihahahah, nikipewa ushauri, nitaku tagi tehe tehe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaribu tiba mbadala, zimung' unywe/ nyonywe/ zipekechwe/ pengine zifinywefinywe kiasihahahah, nikipewa ushauri, nitaku tagi tehe tehe
Mwanamke mwenye uke madhubutiSijajua we ni Me au Ke.
Naomba ufafanuzi zaidi hapo sijaelewaAdenosis
hahaahahahhaha duuuu!Mkuu wa kaya alisema kuna wastaafu wana washwawashwa sasa na wewe kudai unawashwawashwa nikahisi ni mmoja wa wale wastaafu
Ahsante ngoja nikuje huko roomNina specie moja ya aloe Vera hapa kwangu, njoo pm tuyamalize totooo!!
yanawasha mara kwa mara yaani nikipumzika labda siku moja then yaanza tenaKila siku huwa yanawasha au ni mara mojamoja!?
yanawasha mara kwa mara yaani nikipumzika labda siku moja then yaanza tenaKila siku huwa yanawasha au ni mara mojamoja!?
Ahsante kwa ushauri shost, sasa nipake wakati wa kulala au? na hayo mafuta ya Olive ni yale ya nywele kwenye kichupa cha kijani au?paka vaseline ya kutosha na mafuta ya olive.yatakuwa yamekuwa makavu sana shosti wangu
Sio ny-e-g-e kweli mbona unachekacheka Sana!!!hahaahahahhaha duuuu!
yapo ya kujipaka bna. hata ya nazi poa tu ila vaseline ndo mpango mzima paka asubuhi na jioniAhsante kwa ushauri shost, sasa nipake wakati wa kulala au? na hayo mafuta ya Olive ni yale ya nywele kwenye kichupa cha kijani au?
Bila shaka zitakuwa nyege mshindo..!Mficha "nyeti" hapati mtoto.
Yaani ikifika usiku wa manane kuwe na joto au baridi, manyonyo yanawasha sana hadi kwenye chuchu!
Ushauri wenu tafadhali hasa hawa wataalam @sky eclat, na [USER=10655]Watu 8
Ahsanteni sana[/USER]
Thank you my dearest 3 Angels messageClothing
One of the chief causes of nipple pain can be a poorly fitting bra, or one whose fabric proves irritating. If you’re wearing an older bra, check and see if there’s anything (worn, rough fabric; loose stitching) that might be rubbing on your nipple. If your bra is new, try going back to one of your old favorites, and see if the pain abates.
Chemicals
Another common cause of sudden-onset nipple pain is a change in laundry detergent or shower gel; you might be having a reaction to one of the chemicals in these products. Or perhaps you’ve been swimming in a chlorinated pool more than usual; chlorine can dry and irritate skin, and your nipples are no exception. See if changing back to your old detergent or shower soap - or reducing your hours in the pool - takes the pain away.
Kuna visababu hivyo nimevipata kwa msaada wa google huenda vikawa ndio chanzo
paka mafuta sana maana ukipata ujauzito ukija kuzaa yatachanika vibaya mno .Thank you my dearest 3 Angels message
ACHA KUVAA BLA USIKU ZAKUBANA SANAMficha "nyeti" hapati mtoto.
Yaani ikifika usiku wa manane kuwe na joto au baridi, manyonyo yanawasha sana hadi kwenye chuchu!
Ushauri wenu tafadhali hasa hawa wataalam @sky eclat, na [USER=10655]Watu 8
Ahsanteni sana[/USER]