Manyonyo kuwasha sana usiku

paka vaseline ya kutosha na mafuta ya olive.yatakuwa yamekuwa makavu sana shosti wangu
Ahsante kwa ushauri shost, sasa nipake wakati wa kulala au? na hayo mafuta ya Olive ni yale ya nywele kwenye kichupa cha kijani au?
 
Ahsante kwa ushauri shost, sasa nipake wakati wa kulala au? na hayo mafuta ya Olive ni yale ya nywele kwenye kichupa cha kijani au?
yapo ya kujipaka bna. hata ya nazi poa tu ila vaseline ndo mpango mzima paka asubuhi na jioni
 
unatakiwa ujue jinsi ya kutunza mwili wako mwanamke .usiwe bahili wa mafuta .mimi kwa mwezi natumia makopo matatu ya mafuta ..bado vicream cream vya kunitakatisha sio mikorogo lakini .
nina mafuta ya nywele
ya uso
ya mdomo
ya shingo
ya nyonyo na tumbo na mapaja
ya taako
ya papuchi
ya bikini line
ya miguu
ya nyayo
ya kucha
 
Thank you my dearest 3 Angels message
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…