Ahsante kwa ushauri mzuriNaomba uende katika maabara ya uhakika, ukapime kipimo kinachoitwa VDRL, au RPR. Kama utahitaji ushauri zaidi tutawasiliana.
Unaweza kuta ni Water melons mkuuNi vindimu au ndala?
kwan shemu hayupo, awe anakukuna kuna!Mficha "nyeti" hapati mtoto.
Yaani ikifika usiku wa manane kuwe na joto au baridi, manyonyo yanawasha sana hadi kwenye chuchu!
Ushauri wenu tafadhali hasa hawa wataalam @sky eclat, na [USER=10655]Watu 8
Ahsanteni sana[/USER]
hhhee!!!!!Nope..kasema nimalizane kwanza na wewe afu ye atanipa paper
ahahaa acheni ujinga nyie watu wa vibamiaUnaweza kuta ni Water melons mkuu
AsanteAhsante kwa ushauri mzuri
hahahahha mwe! tikikitiUnaweza kuta ni Water melons mkuu
πππππahahaa acheni ujinga nyie watu wa vibamia
Bo! sasa ndio hata angekuwepo nimuamshe usiku mnene anikune, si kumsumbua tu mtu wa watukwan shemu hayupo, awe anakukuna kuna!
jamaniii!!!!Hii madaa nimeishia kusisimuka tu hata ushauri umegoma kutoka kichwani....utapona tu wakati ukifika
ndio wajibu wake huo, huko ndio kujali, inatakiwa kupendana kwa kila haliBo! sasa ndio hata angekuwepo nimuamshe usiku mnene anikune, si kumsumbua tu mtu wa watu
πππππItakuwa siri yangu na wewe au nitumie inbox nione kisha nikupe ushauri
mmmmmmmmmmmhhh!ndio wajibu wake huo, huko ndio kujali, inatakiwa kupendana kwa kila hali
njoo uanze kwangu upate flavourNope..kasema nimalizane kwanza na wewe afu ye atanipa paper
hahahahahahahaahaahh, si uko naye huko Dar hahahahahahahaahsi ukanyonywe na mchepuko ule? aaah
tehe teheWe unafurahia tu mi napewa makavu
mmmh! na wewe umekuwa ukthuy hahahhahha ndie ana comment kwa kanukta.
Looooooh.. !!! [emoji119] [emoji119]unatakiwa ujue jinsi ya kutunza mwili wako mwanamke .usiwe bahili wa mafuta .mimi kwa mwezi natumia makopo matatu ya mafuta ..bado vicream cream vya kunitakatisha sio mikorogo lakini .
nina mafuta ya nywele
ya uso
ya mdomo
ya shingo
ya nyonyo na tumbo na mapaja
ya taako
ya papuchi
ya bikini line
ya miguu
ya nyayo
ya kucha
Huyo ndie Miss Natafuta original hahahahahaaLooooooh.. !!! [emoji119] [emoji119]