acheni kujipaka mafuta ya kupikia jamaniLooooooh.. !!! [emoji119] [emoji119]
Naogopa yatavimba au kupata michubukoyakiwasha uwe unayabinya binya taratibu na kuzifinya chuchu yatapoa
Toka nakua mi mafuta yangu Mawese. Ila nyie wanawake sisgangai sana, mna mambo mengiacheni kujipaka mafuta ya kupikia jamani
Ahsante sana Titicomb nakushukuru kwa ushauri wako muruaUshauri kamuone daktari kwanza. Lakini kama upo tayari kutumia dawa kotokana na ushauri wa street doctors basi hizo zinaweza kuwa ni aina ya fangasi. Fangasi nyingi huwa na kawaida ya kuwasha sana usiku mwingi jadi alfajiri. Nenda kanunue dawa ya maji ya sikio inaitwa Candibiotic. Hii ni mchanganyiko wa dawa ya candidiosis na antibiotic nyingine. Ukipaka siku ya kwanza tu utaona hakuna muwasho tena. Angalizo hii dawa utapata ile hali ya kama unaungua joto kali kwa dakika chache, chuchu ni sehemu sensitive sana. MUONE DAKTARI KWANZA.
pole sanaHakuna vipele kabisa ila kuna washa sana, tena nyakati za usiku mzito hadi nakatiza usingizi kujikuna
hahahahahToka nakua mi mafuta yangu Mawese. Ila nyie wanawake sisgangai sana, mna mambo mengi
Ahsante my kaka, ushauri wako?pole sana
Shukrani kwa ushauri wakoUngeenda hospitali mapema inaweza kuwa dalili ya magonjwa ya wanawake yanayohusiana na mfumo wa uzazi au saratani ya matiti
Mwili wa binadamu ni mpana mno hasa wa kike.Hakuna vipele kabisa ila kuna washa sana, tena nyakati za usiku mzito hadi nakatiza usingizi kujikuna
Ahsante mpendwa wanguMwili wa binadamu ni mpana mno hasa wa kike.
Kuna tezi ambayo imeathiriwa hasa ya uzazi ambazo zinakuwa active mno kutoa homoni ambazo zimekuwa ni sumu kuleta miwasho kwenye matiti. Kuna mahusiano ya tezi za uzazi na miwasho hiyo.
Ni tatizo dogo lakini pia ni kubwa lisipotibika. Onana na madaktari wa masuala ya uzazi watarestore hali hiyo muda mfupi.
mie ni daktari ni PM nikufanyie vipimo na tiba🙄Naogopa yatavimba au kupata michubuko
una mtoto au ulishawahi kuzaaWee Norshad, ujue ninawashwa sana! hahahhahaahh, nipe ushauri bwana! hahahahahahaha
femaleWewe wa kike au wa kiume?
sikumbukina je mara ya mwisho kula dawa za minyoo ni lini