Manyonyo kuwasha sana usiku

Manyonyo kuwasha sana usiku

Ushauri kamuone daktari kwanza. Lakini kama upo tayari kutumia dawa kotokana na ushauri wa street doctors basi hizo zinaweza kuwa ni aina ya fangasi. Fangasi nyingi huwa na kawaida ya kuwasha sana usiku mwingi jadi alfajiri. Nenda kanunue dawa ya maji ya sikio inaitwa Candibiotic. Hii ni mchanganyiko wa dawa ya candidiosis na antibiotic nyingine. Ukipaka siku ya kwanza tu utaona hakuna muwasho tena. Angalizo hii dawa utapata ile hali ya kama unaungua joto kali kwa dakika chache, chuchu ni sehemu sensitive sana. MUONE DAKTARI KWANZA.
 
Ahsante sana Titicomb nakushukuru kwa ushauri wako murua
 
Ungeenda hospitali mapema inaweza kuwa dalili ya magonjwa ya wanawake yanayohusiana na mfumo wa uzazi au saratani ya matiti
 
Hakuna vipele kabisa ila kuna washa sana, tena nyakati za usiku mzito hadi nakatiza usingizi kujikuna
Mwili wa binadamu ni mpana mno hasa wa kike.
Kuna tezi ambayo imeathiriwa hasa ya uzazi ambazo zinakuwa active mno kutoa homoni ambazo zimekuwa ni sumu kuleta miwasho kwenye matiti. Kuna mahusiano ya tezi za uzazi na miwasho hiyo.
Ni tatizo dogo lakini pia ni kubwa lisipotibika. Onana na madaktari wa masuala ya uzazi watarestore hali hiyo muda mfupi.
 
Ahsante mpendwa wangu
 
Back
Top Bottom