Manyonyo kuwasha sana usiku

nunua mabendazole dawa za minyoo kunywa kwanza kesho alfajir kabla hujala kitu kaa masaaa mawili bila kula wala kunywa usiku wake utatupa maendeleo tujue nini
Ahsante sana nanawoo, ila naomba nikuulize hivi nikimeza hizo dawa za minyoo naweza kunywa pombe?
 
Duuuh unatumia muda gan kumaliza kupaka yote hayo
 
Dawa yako ndogo sana..njoo ulale kwangu...ili tufanye troubleshooting ya tatizo
 
Utakuwa unasumbuliwa na ugonjwa, njoo PM tuongee vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…