Mpo wengi wa hivyo sio wewe tuKwangu yana kazi sana..nkigusana na mwanamke ata kama nlikua mbali kimawaza akili inarudi fasta
KumbeMpo wengi wa hivyo sio wewe tu
uhali gani?. hili swali nimeuliza na dogo hapa nimeshindwa kumjibu zaidi ya kuguna tu. nimeona nilete kwa madaktari wa jf huenda wakawa wanajua kisayansi kazi ya hizi manyonyo kwa wanaume ni nini. na je yanaitwa manyonyo, Chuchu, Maziwa au Matiti?
karibuni
View attachment 674741