"Why Men Have Nipples. As embryos in the womb, males and females have similar tissues and body parts. In fact, all embryos start out as female, which is why nipples are present in both sexes. ... These vestigial nipples have no functional use
Moja ya majibu sahihi kabisa ya kisayansi niliyoyaona hapa.
Kwa kifupi ni hivyo, watu wengi hawajui hatua za ukuwaji wa mimba toka siku yai limerutubishwa mpaka mtoto anazalia na hili linachangiwa sana na elimu duni na uwezo mdogo wa kuweza kutumia teknolojia kama mitandao na youtube kujifunza.
Kwa kifupi tu, inasemeka kuwa tofauti ya jinsia kwenye mimba inaanza kuanzia wiki ya 3 toka imetungwa (@https://
www.scientificamerican.com/article/differences-between-boys/) na hiyo ndio sababu hata baada ya kuzaliwa bado ni vigumu kugundua jinsia ya mtoto mchanga kwa kumwangalia kwa nje - watoto wachanga wote ni kama jinsia moja. Hivyo basi, kabla ya wiki ya 3 wanaume na wanawake huwa sote tunafanana kimaumbile na ndio maana ukitaka kuona mabaki ya umoja huo ni kwa kuangalia viungo vyetu vya uzazi baada ya kuzaliwa;
Mfano:
- Kwa wanawake OVARIES ndio zinabadilika kuwa TESTICLES kwa wanaume
- Kwa wanawake CLITOLIS ndio inakuwa na mwisho kuwa PENIS kwa wanaume
- Kwa wanawake VAGINA haifungi kuacha birth canal wakati kwa wanaume inafunga na tundu linakwenda kujiunga kwenye njia ya mkojo
Na ndio maana mwisho wa siku tuna baki na 1 opening (Ureter) wakati wanawake ili ku accomodate birth wanakuwa na 2 opening (Ureter na Urethra) ... thats it.
So kwa kifupi, chuchu zinabaki as we are all girls before the 3 week of our conception