Manyoya huwa yanawavutia mabinti

Manyoya huwa yanawavutia mabinti

KakaNanii

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2008
Posts
325
Reaction score
52
Eti jamani . Nasikia haya manyoya(garden love) huwa yanawapagawisha sana mabinti
 
Attachments

  • MANYOYA.jpg
    MANYOYA.jpg
    42.1 KB · Views: 330
yakiwa kwa mtu mwenye kitambi kitambi hivi..ni no!:A S 109:
 
Preta, MRoza, RoselynOne na Miss Pirate naona wote hamuelekei kuyapenda hayo magugu-maji ya kifuani! Angalau basi mtoe na sababu tujue kwa nini....
 
mimi kwa kweli hayo manyoya pamoja na vimzuzu mbuzi.....no....I do a lot of work sasa hayo makitu are getting on ma way.....ndio maana siyapendi pamoja na kitambi inclusive
 
Preta wewe umesema, wengineo je?
 
mimi kwa kweli hayo manyoya pamoja na vimzuzu mbuzi.....no....I do a lot of work sasa hayo makitu are getting on ma way.....ndio maana siyapendi pamoja na kitambi inclusive

...WATOTOO! Nileteeni Track-suit Yangu.....!! :embarrassed1:
 
Unajua mtu anavutia kabla ya kuvua nguo. Kwa hiyo garden love has nothing to do with mvuo. Good looks bana ndo inamatter. Si unaona wazee wanaangalia wowowo kwanza kabla ya mambo mengine
 
Umenena!
 
Tatizo akisha 'chojoa' unaweza kuwa disappointed (kama huyapendi!). Kama wewe ni HE, imagine umemchukua demu 'mkali' halafu akikuvulia nguo ukakutana na hayo manyoya!

Anyway, mwanaume shurti uwe na 'manyonya' angalau kidogo!
 
mimi kwa kweli hayo manyoya pamoja na vimzuzu mbuzi.....no....i do a lot of work sasa hayo makitu are getting on ma way.....ndio maana siyapendi pamoja na kitambi inclusive

hujapata wa kutumia ki mzuzu mbuzi vizuri weye.....sam taimu kina act kama ki brush flani hivi wakati wa kuzama uvinza
 
mimi hata hayanikuni kunako tena nayaona kinyaa
 
napenda manyoyaa,mwanaume akiwa na manyoya miguuni naona anapendeza,na kifuani pia,ila ya kizungu hayavutii,napenda manyoya kipilipili.
 
Back
Top Bottom