MANZESE mabomuuuu sasa.

MANZESE mabomuuuu sasa.

frema120

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
5,098
Reaction score
1,339
Nipo eneo la tukio hali ni mbaya sanaaa....
~Kuna msongamano mkubwa sanaa barabara ya tandale magari yote yanakimbilia huko na kigogo...
~barabara imefungwa kabisa ya manzese (morogoro road)
~kisa ni wafanyabiashara kurudi sehemu waliofukuzwa wakat wa obama.
~nguvu ni kubwa mno ya police wakat issue ni ndogo sanaaaa

KOVA PLS WAMBIE VIJANA WAKO WATUMIE KICHWA NA SIO MASUBULI KWENYE MAMBO KAMA HAYA

Fikiri kuna zaidi ya wafanyabiashara 3000 pale unawambia watoke lakin wapi wanaenda hakuna.

CCM HOYEE.
 
....wanatake advantage ya obama. sasa najua tatizo la tanzania,watz wapo tayari kufanya lolote kwa hiyari kama ambavyo waliondoka wakati wa obama na si kwa nguvu. so ishu hapa ni muafaka na si ubabe...
 
Naunga mkono Jiji lazima liwe safi,wamachinga watafutiwe maeneo maalum ya biashara.Arusha kero ya wafanyabiashara ndogo ndogo imekuwa kubwa sana barabara utakuta imefungwa kwa kusambazwa viatu kila sehemu hi ni nini kama si fujo kila kitu kina utaratibu.
 
Natamani Obama arudi kwa Ghafla amfumanie Mkula jk!!?? Maana anadeki sebuleni siku mgania anakuja.
 
Watafutiwe eneo lingine then watolewe,
Napendekeza
~ Wapeleke kigogo kwa jongo Kiwanjani nipakubwa sanaaaa

LAKIN NGUV INAYOTUMIKA SIO SAHIHI KABISA, JIJI LAZIMA LIWE SAFI, je wanapelekwa wapi? kwanini
~masoko yote yamejaa
~machinga complex inamilikiwa na wakubwa
~Eneo lao lake oil (Riz) wamajenga shell pale manzese
~Diwan wakuwatetea hakuna na mbuge anatiswa.
 
Safi sana jji lazima liwe safi
 
Utalazimishaje kupanga biashara barabarani wakati siyo sehemu husika.
 
Ipo siku tutaanzisha tahariri square!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Utalazimishaje kupanga biashara barabarani wakati siyo sehemu husika.

Na wee kwanini umejenga shell pale manzese sehem ya machinga lakin.... sasa hivi mnawafukuza tuuuu.
 
Back
Top Bottom