Manzi yangu anapenda mjengo mbaya,

Manzi yangu anapenda mjengo mbaya,

jibu rahisi sana bao moja kamuu nusu saa hadi saa nzima.
Mie nikimpata demu kama huyo nahakikisha kila mechi yeye anakua na tano mie moja,5-1.
 
We mbili zote za nini? Kimoja yenye tano ndani.

Ah ... Acheni tu!

Msimponde huyu jamaa..mimi ananikumbusha miaka kadhaa iliyopita,nilikuwa naishi K'nyama,Dar.. Kulikuwa na dada ambaye alikuwa wa ajabu sana.. Aki-do na boyfriend wake siku hiyo anakuwa kafunguliwa,kwani atahaha kumtafuta/kuwatafuta wanaume wengine usiku huo wa ku-do naye..

Nadhani yule anaridhika akikojoa mara kama 40 hivi...

Huwa anaona ni bora asi-do kabisa,maana anajua athari zake..
 
Mie nikimpata demu kama huyo nahakikisha kila mechi yeye anakua na tano mie moja,5-1.

kweli bana, you have to be very calculating when you deal with such a nympho la sivyo utashangaa unaanza kupandisha kenchi za mabega tu..
 
Kuna baadhi ya makabila wanadai ndo nature yao zaid apate mtu wa dizain yake, mi nadhan we mtashindwana zaidi atakusaliti apate ridhika
 
pole, nendeni kwa wataalam wa malavidavi kama mutambuzi atakupa triki za kumshosha af unamaliza kazi mapema.
 
dah, nikimuoa huyo nafikiri namimi ntaridhika coz nilivyo na tamaa
 
Huyo dem ampate rafiki yangu imma, atakojoleshwa hadi mara 200 kwa masaa machache..... Tena yeye kakojoa mara moja tuuuuuuu
 
Ni zaidi ya miezi mitano inakatika sasa, nipo na dada mmoja kimahusiano.sio siri ananichosha kwenye mambo yetu yale ni noma.nikiwa nae tunaenda tano kwa muda mchache yani nakua hoi hadi kufika mwisho wa mchezo,imefikia sasa nikilala nae usiku mmoja naenda adi nahisi natoa hewa.nikikataa ni ugomvi mpaka anafikia kulia na kudai namnyanyasa kimapenzi.

ile mwanzo nilifikiri kwa sababu tunaanza ndio maana ila sasa inakua 2 much,sifurahii kukaa nae zaidi ya masaa 2,natafuta hata sababu ya kikao na washkaji ili hali tu nimkimbie nae arudi hm kwao,

ila nampenda kwani nae pia anamapenz ya kweli kwa kumuangalia nyendo zake,na vl vl ni miongoni mwa mipango yangu ya baadae,yani nategemea kuishi nae.

Najiuliza tukifunga ndoa itakuaje?hebu nisaidieni mbinu washkaji,wakinadada ili nisimpoteze huyu kimwana.

Hamia airtel mkuu kwenye full network! Kama vipi wasiliana na kituo cha huduma kwa wateja usaidiwe kutatuliwa shida zako.
 
pata kikombe cha pweza, utapata mkali kinoma mkuu. Ushauli wangu binafisi tafuta binti mmwenge mkuu.
 
tafuta historia yake kwanza ,uwezi juwa iyo ndiyo kazi yake ya kilasiku akija kwako unashangaa......niayo tu mkuu.
 
Hiyo kali, mimi wa kwangu ananikimbia na kwenda kulala sebuleni kwa ajili ya shughuli.....any way ushauri wa BADILI TABIA utakusaidia (fore play, uvinza kwa sana)
 
aisee! nitumie namba zake kama vipi, nahitaji sana mwanamke wa namna hii wakuu!
 
if it waz not mapenz 2ngexchang na girl wang coz it iz vise vesa n hd kero tang 2anz hajawah maliz mbil
 
Back
Top Bottom