Manzoki kipenzi cha wana Simba

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Vipi dirisha hili hasajiliwi? Atasajiliwa lini jaman mgeni rasmi huyu na mwenye hotuba nzuri?
 
Vipi dirisha hili hasajiliwi? Atasajiliwa lini jaman mgeni rasmi huyu na mwenye hotuba nzuri?
Vip yule Bigirimana kutoka EPL mliyeletewa na Hersi ili mmmpe kura za Urais mmeshalipa pesa zake kule FIFA kwenye shitaka lake? Utopolo Manara hakukosea kusema wote akili zenu zimejaa Fangasi baada ya kushambuliwa na UTI.
 
Gael alicheza na makombe alibeba, ile mechi tunawakanda mbili za Mayele alishiriki kutembeza kichapo kitakatitfu
 
Binafsi nilishangazwa sana na ujio wa Manzoki kwenye ule uchaguzi ambao Mangungu alishinda kwa kishindo! Yaani kwa kitendo chake tu cha
kujitokeza na kuwasalimia wajumbe; tayari Mangungu akajihakikishia ushindi wa kishindo!!

Hivi mpaka leo sijawahi kuelewa alikuja kama nani kwenye ule uchaguzi!! Alikuwa ni kampeni meneja wa Mangungu, au!!! Naomba mashabiki/ wanachama wa simba wenye akili timamu mnisaidie katika hili tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…