GE2025 Maofisa na Askari wa Polisi washiriki matembezi ya Ukakamavu kuimarisha ushirikiano

GE2025 Maofisa na Askari wa Polisi washiriki matembezi ya Ukakamavu kuimarisha ushirikiano

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

PAYE

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2025
Posts
459
Reaction score
644
Picha mbalimbali zikiwaonesha Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba wakishiriki katika matembezi ya ukakamavu yaliyoshirikisha vyombo vya ulinzi na usalama Mkoa wa Kaskazini Pemba.

1761377415149.png

Katika matembezi hayo maofisa wa Polisi, wakaguzi pamoja na askari wa vyeo mbalimbali wa Mkoa Kaskazini Pemba wameshirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama vya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na vile vya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar lengo la matembezi hayo ni kuimarisha mashirikiano sambamba na mazoezi ya pamoja yenye lengo la kuwakutanisha pamoja watendaji wa vyombo vya ulinzi na usalama.

1761377366097.png

1761377402003.png
 
Vilaza wengii.
Ianguke Ndege majini
Uwake Moto Msituni.
Watokee raia wenye mafunzo kidogo na watumie Silaha.

Vilaza hawana pango la kujificha.
 
Hivi vyombo mnavoviita vya ulinzi na usalama vina ushamba mwingi sana,na kama kutembea ni mazoezi ya ukakamavu basi hatuna Jeshi maana kuna raia tumewazidi ukakamavu maana tunatembea mpaka sio poa daily
 
Back
Top Bottom