Maofisa wa vyombo vya ulinzi uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana.

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
2,853
Reaction score
4,503
Nimefuatilia dodoso za Lissu kwa maofisa wa vyombo vya usalama kama George ambaye ni deputy ZCO,kaaya ambaye anajiita ni doria wa mtandaoni na huyu bwana jela.

ukifuatilia ni watu ambao uwezo wao kifikra ni sawa na Bi msumi tu,imagine leo bwana jela anajibu mahakama kwa nyodo mpaka alipopigwa mkwara ,ndio kuomba radhi.

Afisa wa magereza tena mkuu hajui sheria za magereza wala kanuni za magereza,anachokijua ni kufuga ndambi kama mzee Wasira.

Na hawa wanalipwa mshahara kwa kodi za watanzania,wanatembelea magari yaliyonunuliwa kwa kodi za watanzania,maninnerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
Sio kwamba hawajui. Bali hawana sababu za kufutaata sheria na kanuni.
 
Nimefuatilia dodoso za Lissu kwa maofisa wa vyombo vya usalama kama George ambaye ni deputy ZCO,kaaya ambaye anajiita ni doria wa mtandaoni na huyu bwana jela.

ukifuatilia ni watu ambao uwezo wao kifikra ni sawa na Bi msumi tu,imagine leo bwana jela anajibu mahakama kwa nyodo mpaka alipopigwa mkwara ,ndio kuomba radhi.

Afisa wa magereza tena mkuu hajui sheria za magereza wala kanuni za magereza,anachokijua ni kufuga ndambi kama mzee Wasira.

Na hawa wanalipwa mshahara kwa kodi za watanzania,wanatembelea magari yaliyonunuliwa kwa kodi za watanzania,maninnerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
Serikalini kumejaa maamuma wengi sana, tena mbaya sana kwenye vyombo vya ulinzi, polisi, jeshi, ndio shida kabisa, nliliwahi kugonga gari ya jeshi, kwa kosa Lao, jamaa kwanza wakashuka kwa mikwara mingi, vitisho, wakanikazimisha twende kwenye kambi zao, cha ajabu, walitegemea Nita panick, niogope, mi nacheka tu, nikawapita, Waka Nikita nimeishafika kambini kwao,
Ishu ndogo watu wanashindwa kutatua kwa busara!
 
Watu wanaajiliwa kwa kupata D mbili. Zamani mtu akifeli form four, wazazi wanamwambia umeshindwa kupata hata maksi za kwenda magereza, polisi, jeshini! 😊
Ukishindwa kupata maksi hizo basi umefeli sana longtime. Maana hizo zilikiwa ni nafasi za watu waliofeli kabisa.
 
Serikalini kumejaa maamuma wengi sana, tena mbaya sana kwenye vyombo vya ulinzi, polisi, jeshi, ndio shida kabisa, nliliwahi kugonga gari ya jeshi, kwa kosa Lao, jamaa kwanza wakashuka kwa mikwara mingi, vitisho, wakanikazimisha twende kwenye kambi zao, cha ajabu, walitegemea Nita panick, niogope, mi nacheka tu, nikawapita, Waka Nikita nimeishafika kambini kwao,
Ishu ndogo watu wanashindwa kutatua kwa busara!
mlienda court?
 
Back
Top Bottom