TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,853
- 4,503
Sio kwamba hawajui. Bali hawana sababu za kufutaata sheria na kanuni.Nimefuatilia dodoso za Lissu kwa maofisa wa vyombo vya usalama kama George ambaye ni deputy ZCO,kaaya ambaye anajiita ni doria wa mtandaoni na huyu bwana jela.
ukifuatilia ni watu ambao uwezo wao kifikra ni sawa na Bi msumi tu,imagine leo bwana jela anajibu mahakama kwa nyodo mpaka alipopigwa mkwara ,ndio kuomba radhi.
Afisa wa magereza tena mkuu hajui sheria za magereza wala kanuni za magereza,anachokijua ni kufuga ndambi kama mzee Wasira.
Na hawa wanalipwa mshahara kwa kodi za watanzania,wanatembelea magari yaliyonunuliwa kwa kodi za watanzania,maninnerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
Hawana sababu wakati sababu ni hizohizo kanuni na sheria,kwani si zimewekwa ili zifuatwe?Sio kwamba hawajui. Bali hawana sababu za kufutaata sheria na kanuni.
Anamaanisha kwa upeo wao wanadhani hawana hiyo sababu maana wao ni kupokea maelekezo tu.Hawana sababu wakati sababu ni hizohizo kanuni na sheria,kwani si zimewekwa ili zifuatwe?
hiyo ni sababu nambari one
NDIOHivi Magereza ni chombo cha ulinzi?
MZEE WA KUPANICBwana Jela
Serikalini kumejaa maamuma wengi sana, tena mbaya sana kwenye vyombo vya ulinzi, polisi, jeshi, ndio shida kabisa, nliliwahi kugonga gari ya jeshi, kwa kosa Lao, jamaa kwanza wakashuka kwa mikwara mingi, vitisho, wakanikazimisha twende kwenye kambi zao, cha ajabu, walitegemea Nita panick, niogope, mi nacheka tu, nikawapita, Waka Nikita nimeishafika kambini kwao,Nimefuatilia dodoso za Lissu kwa maofisa wa vyombo vya usalama kama George ambaye ni deputy ZCO,kaaya ambaye anajiita ni doria wa mtandaoni na huyu bwana jela.
ukifuatilia ni watu ambao uwezo wao kifikra ni sawa na Bi msumi tu,imagine leo bwana jela anajibu mahakama kwa nyodo mpaka alipopigwa mkwara ,ndio kuomba radhi.
Afisa wa magereza tena mkuu hajui sheria za magereza wala kanuni za magereza,anachokijua ni kufuga ndambi kama mzee Wasira.
Na hawa wanalipwa mshahara kwa kodi za watanzania,wanatembelea magari yaliyonunuliwa kwa kodi za watanzania,maninnerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
mlienda court?Serikalini kumejaa maamuma wengi sana, tena mbaya sana kwenye vyombo vya ulinzi, polisi, jeshi, ndio shida kabisa, nliliwahi kugonga gari ya jeshi, kwa kosa Lao, jamaa kwanza wakashuka kwa mikwara mingi, vitisho, wakanikazimisha twende kwenye kambi zao, cha ajabu, walitegemea Nita panick, niogope, mi nacheka tu, nikawapita, Waka Nikita nimeishafika kambini kwao,
Ishu ndogo watu wanashindwa kutatua kwa busara!
Vyombo vya ulinzi pekee ni JWTZ na kamandi zale, vilivyobaki ni vyombp vya usalama