pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Punguzeni jazba, waelemisheni wafanyabiashara watalipa kwa upendo, kulazimisha na kutishana kumepitwa na wakati,
Leo nimekuta hiyo kesi kwenye duka moja kariakoo, mdai service levy analazimisha mfanyabiashara afunge duka au alipe, wakati mfanyabiashara anaomba muda wa wiki mbili ndio alipe.
Ilibidi majirani waingilie kati na kusuluhisha, vinginevyo naona leo kingeumana, hawa wadai kodi ni wajeuri kuliko hata tra wenyewe