hsnaturalfertility
JF-Expert Member
- May 14, 2022
- 399
- 992
NotedPoverty is mental illness and not spiritual problem
Prayer is about to acknowledge the higher power in ur life.
Mkuu nina imani ndiyo maana nasali sana, Lakini maombi hayajibiwi.Imani yako itakusaidia katika maombi yako
Usifanye maombi kama hauna imani
Nielekeze labda sina ufahamu kweli.Nadhani huna ufahamu juu ya nguvu ya maombi
Sijajua kama ni kweli.Je maombi yanafukuza mashetani?
We jamaa kwa spana hadi Mungu humuogopi?Ukishaona unahitaji kuomba huo ni uthibitisho Mungu hayupo.
Angekuwepo, usingehitaji kuomba. Mungu angekupa unachotaka kabla hujaomba.
Kusema ukweli sijawahi kuamini stori za motoni. Sina hofu yoyoteAmua na ujichagulie njia yako tu, tutakutana sehemu tumuimbie Mungu au uende zako motoni.
Unaongea kirahisi sana.Kufanikiwa na kutofanikiwa kwa maombu kunasababishwa na wew mwenyew
👉unashindwa kutambua law of belief
👉Pia umeshundwa kufahamu how world within na world without zinavyowasiliana
👉umeshindwa kuelewa power of your subconcious mind
Isa 65:24Ukishaona unahitaji kuomba huo ni uthibitisho Mungu hayupo.
Angekuwepo, usingehitaji kuomba. Mungu angekupa unachotaka kabla hujaomba.
Wewe amua upande wako. Ila usishawishi wengine kua uliko ni sahihi.Kusema ukweli sijawahi kuamini stori za motoni. Sina hofu yoyote
Mpige darasa, soon atasema hakuna MunguNadhani huna ufahamu juu ya nguvu ya maombi
Maombi kujibiwa wakati mwingine ili yajibiwe inahitajika maombi ya ambatane na kufunga/fasting+sadaka,na wakati mwingine Mungu anajibu kwa wakati wake hakawii wala hawai.Uvumilivu ni tunda la Roho,na imani isiyo na mashaka kwa Mungu hata unapohisi maombi yamechelewa kujibiwa.,pia imani iambatane na matendo mema.Mungu anasikiliza zaidi maombi ya wenye Haki(wanaotenda mema na wasiotenda dhambi mana dhambi inakutenga na Mungu)Hivyo tujitakase tusafishe matendo yety na TOBA.Mkuu nina imani ndiyo maana nasali sana, Lakini maombi hayajibiwi.
nafahamu ndo maana nikaongea hiko kituUnaongea kirahisi sana.
We unafahamu how world within na world without zinavyowasiliana?
Maombi kujibiwa wakati mwingine ili yajibiwe inahitajika maombi ya ambatane na kufunga/fasting+sadaka,na wakati mwingine Mungu anajibu kwa wakati wake hakawii wala hawai.Uvumilivu ni tunda la Roho,na imani isiyo na mashaka kwa Mungu hata unapohisi maombi yamechelewa kujibiwa.,pia imani iambatane na matendo mema.Mungu anasikiliza zaidi maombi ya wenye Haki(wanaotenda mema na wasiotenda dhambi mana dhambi inakutenga na Mungu)Hivyo tujitakase tusafishe matendo yety na TOBA.
Narudia tena acha kuongea kirahisi Ndugu yangu.nafahamu ndo maana nikaongea hiko kitu
we ndo unaonekana huna ufahamu wa hayo mambo omba watu wakusaidie na uleweshwe kuhusu laws of universe and how is operatedUnaongea kirahisi sana.
We unafahamu how world within na world without zinavyowasiliana?
Sijaonge kiurahisi ndugu yangu bali nimejaribu kufupishaNarudia tena acha kuongea kirahisi Ndugu yangu.
Kwa nini nimuogope ikiwa hayupo?We jamaa kwa spana hadi Mungu humuogopi?
Sasa kama anajibu kabla hawajaomba, wanaomba nini hapo?Isa 65:24
Na itakuwa ya kwamba, kabla hawajaomba, nitajibu; na wakiwa katika kunena, nitasikia.